Jukwaa la Michezo

CAF: ZESCO United, TP Mazembe zaanza vema

Sauti 24:40
Kombe la shirikisho barani Afrika
Kombe la shirikisho barani Afrika Bin Katanga

Zesco United ya Zambia ndio klabu pekee iliyopata ushindi nyumbani katika michuano ya kwanza ya hatua ya makundi kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika, mechi zilizoanza mwishoni mwa juma lililopita.Pata uchambuzi wa kina