Jukwaa la Michezo

Urusi 2018: Droo ya mataifa ya Afrika kufuzu kombe la dunia yawekwa wazi

Sauti 26:19

Safari ya mataifa ya Afrika, kufuzu katika michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2018 imefikia katika hatua ya lala salama baada ya Shirikisho la soka barani Afrika kufanya droo ya hatua ya makundi siku ya Ijumaa.Kundi A Libya, Guinea, DR Congo na Tunisia.Kundi B Cameroon, Zambia, Nigeria na Algeria.Kundi C Gabon, Morocco, Mali na Ivory CoastKundi D Burkina Faso, Afrika Kusini, Cape Verde na Senegal,kundi E Uganda, Misri, Congo na Ghana