Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya Mataifa ya Afrika Mashariki kushiriki michezo ya Olimpiki

Sauti 21:55
Mmoja  wa viwanja vya Michezo ya Olimpiki itakayotumiwa katika michezo ya Olimpiki wa Agosti
Mmoja wa viwanja vya Michezo ya Olimpiki itakayotumiwa katika michezo ya Olimpiki wa Agosti Reuters/Ricardo Moraes

Wanariadha mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki wameanza maandalizi ya kushiriki katika michezo ya Olimpiki itakayofanyika mwezi Agosti nchini Brazil.Mamia ya wanariadha wiki hii walijitokeza katika uwanja wa Kipchoge Keino mjini Eldoret  kushiriki katika mchujo wa kitaifa kutafuta nafasi ya kushiriki katika michezo hiyo.