EURO 2016-UFARANSA-UJERUMANI

Euro 2016: Ufaransa yaibwaga Ujerumani katika nusu fainali

Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa washerehekea bao la pili la Antoine Griezmann.
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa washerehekea bao la pili la Antoine Griezmann. BERTRAND LANGLOIS / AFP

Timu ya taifa ya soka ya Ufaransa itamenyana na Ureno katika fainali ya michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya (Euro 2016) Julai 10 katika uwanja wa mjini Saint-Denis. Ufaransa imewabwaga mabingwa wa dunia, Ujerumani, kwa mabao 2-0 Alhamisi Julai 7 katika uwanja wa Velodrome mjini Marseille.

Matangazo ya kibiashara

Timu ya taifa ya soka ya Ufaransa itacheza fainali ya michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya kwa mara ya tatu katika historia yake, baada ya kupata ushindi mwaka 1984 na 2000. Ufaransa kwa sasa inajiandaa kumenyana na Ureno, Julai 10, katika uwanja wa mjini Saint-Denis. Ufaransa imeendelea kuwaridhisha mashabiki wake katika michuano ya Kombe la Ulaya (Euro 2016) ambapo ni mwenyeji wa michuano hiyo, hasa baada ya kuwabwaga Wajerumani, ambao ni mabingwa wa dunia.

Antoine Griezmann aiokoa Les Blues ...

Nyota wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa, antoine Griezman aliipatishia timu yake kwa kufunga bao la kwanza kupitia mkwaju wa penalti katika dakika ya 45+2.

nusu ya kwanza ya Ujerumani-France-saw ni kumi nzuri kwanza ya awali na mwisho mwema wa dakika tano zilizopita Kifaransa, ikiwa ni pamoja na curling risasi kidogo laini mno kwa Antoine Griezmann (7) na mgomo juu ya lengo kutoka Ufaransa mshambuliaji (41). Katika mchakato, kuchukua faida ya mazuri dhidi ya Olivier Giroud anataka kwenda changamoto Manuel Neuer, lakini anasahau teammate yake ambaye ni kuvunja bure (42).

Katika dakika ya 72, baada ya Joshua Kimmich, beki wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani kupoteza udhibti katikaeneo lake ya hatari, Antoine Griezman alifaulu kuingiza bao la pili kupitia pasi ya Manuel Neuer, baada ya kupewa mpira na Shkodran Mustafi, aliyechukua nafasi ya Jerome Boateng ambaye aliondolewa baada ya kupata majeraha.