Jukwaa la Michezo

Euro 2016: Fainali kati ya Ufaransa na Ureno

Sauti 29:16
Shamrashamra za fainali zilivyokuwa katika uwanja wa Stade de France jijini Paris
Shamrashamra za fainali zilivyokuwa katika uwanja wa Stade de France jijini Paris REUTERS/Kai Pfaffenbach Livepic

Jumapili hii, tunakuletea uchambuzi maalum kuhusu mchezo wa fainali kuwania taji la soka la bara Ulaya kati ya wenyeji Ufaransa na Ureno, jijini Paris nchini Ufaransa.