Jukwaa la Michezo

Nafasi ya michezo katika mzozo wa Sudan Kusini

Imechapishwa:

Sudan Kusini imekuwa ikikabiliwa na mapigano ya mara kwa mara ambayo yamesababisha vifo vya maelfu ya watu tangu mwaka 2013. Leo katika Jukwaa la Michezo, tunajadili uwezekano wa michezo kutumiwa kuleta amani nchini humo. 

Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Sudan Kusini
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Sudan Kusini nationaltoday.com
Vipindi vingine