Makala ya 31 ya Michezo ya Olimpiki yafunguliwa rasmi

Sauti 23:27
Sherehe za ufunguzi katika uwanja wa  Maracana mjini  Rio de Janeiro, Brazil  tarehe  05/08/2016
Sherehe za ufunguzi katika uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro, Brazil tarehe 05/08/2016 Reuters/路透社

Makala ya 31 ya Michezo ya Olimpiki imefunguliwa rasmi nchini Brazil. Wanamichezo zaidi ya 10,000 wanashiriki kutoka mataifa 205 kutoka kote duniani.Tunachambua kuhusu Michezo hii na kile kinachotarajiwa.