Michezo ya Olimpiki yamalizika nchini Brazil

Sauti 26:09
Shamrashamra za kufunga michezo ya Olimpilki nchini Brazil Agosti 21 2016
Shamrashamra za kufunga michezo ya Olimpilki nchini Brazil Agosti 21 2016 Olympic Games

Michezo ya Olimpiki ambayo imekuwa ikifanyika nchini Brazil imemalizika usiku wa kuamkia leo baada ya kufanyika kwa tamasha la kuvutia katika uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro.Zaidi ya wanamichezo elfu 11 kutoka Mataifa 207 walishiriki katika Michezo hiyo ambayo ilifanyika majira ya joto.