Mchezo wa soka unaochezwa ufukweni Afrika Mashariki

Sauti 23:02
Kikosi cha Kenya kikimenyana na Ghana Agosti 27 2016 katika mchuano wa ufukweni mjini Mombasa
Kikosi cha Kenya kikimenyana na Ghana Agosti 27 2016 katika mchuano wa ufukweni mjini Mombasa Citizen tv

Soka la ufukweni bado ni changamoto  katika nchi za Afrika Mashariki baada ya Kenya na Tanzania kufanya vibaya katika mchezo wa kufuzu kushiriki michuano ya Afrika mwezi Desemba mjini Lagos nchini Nigeria. Kenya ilifungwa na Ghana mabao 10-3 huku Tanzania ikifungwa na Ivory Coast mabao 7-3.