Jukwaa la Michezo

Mfahamu mwanamasumbwi kutoka nchini Tanzania Francis Cheka

Sauti 20:40
Mwanamasubwi kutoka nchini Tanzania Francis Cheka
Mwanamasubwi kutoka nchini Tanzania Francis Cheka 3.bp.blogspot.com
Na: Victor Melkizedeck Abuso
Dakika 22

Mwanamasumbwi kutoka nchini Tanzania Francis Cheka ni mgeni wetu hivi leo katika Makala ya Jukwaa la Michezo. Anazungumzia hisia zake kuhusu Tanzania kutoshiriki katika mchezo huu katika Michezo iliyomalizika ya Olimpiki nchini Brazil mwezi Agosti mwaka 2016 lakini pia maisha yake katika mchezo huu.