Jukwaa la Michezo

Mwelekeo wa soka la wanawake Afrika Mashariki na Kati

Sauti 27:11
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda Kawowo Sport

Tunajadili hali ya mchezo wa soka kwa upande wa wanawake, Afrika Mashariki na Kati baada ya Baraza la CECAFA, kuandaa kwa mara ya kwanza michuano ya kuwania taji hilo  mjini Jinja nchini Uganda. Je, soka la wanawake linaelekea wapi ?