Jukwaa la Michezo

Timu zitakazocheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika na Shirikisho zafahamika

Sauti 29:10
Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF
Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF CAF

Vlabu vitakavyocheza katika hatua ya fainali kuwania taji la  klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika katika mchezo wa soka  vimefahamika. Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini itachuana Zamalek ya Misri kuwania taji la klabu bingwa huku TP Mazembe ya DRC  ikifuzu kumenyana na Mo Bejaia ya Algeria.