Mjadala kuhusu mechi za kufuzu kombe la dunia 2018 na nyongeza ya kuwa na timu 48

Sauti 22:31
Gianni Infantino, rais wa shirikisho la mpira duniani, Fifa.
Gianni Infantino, rais wa shirikisho la mpira duniani, Fifa. REUTERS/Jorge Adorno

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili, inaangazia adhabu zilizotolewa na shirikisho la soka nchini Tanzania kwa vilabu vya Simba na Yanga baada ya mashabiki wake kufanya vurugu, lakini pia, mechi za kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 kule Urusi na pendekezo la kuwa na timu 48 wakati wa michuano ya kombe la dunia.