Jukwaa la Michezo
Iko wapi nafasi ya soka la vijana na wanawake kwenye ukanda wa Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 20:53
Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inazungumza na mwalimu wa soka, John William maarufu kama Del Pierro na tunaangazia soka la vijana na wanawake kwenye ukanda wa nchi za Afrika Mashariki, wapi tunaelekea?