Jukwaa la Michezo

Fainali ya klabu bingwa barani Afrika nani kutwaa kombe hili mwaka huu

Sauti 21:16
Wachezaji wa klabu ya Mamelod Sundowns wakiwapungia mkono mashabiki baada ya kufuzu fainali kwa kuwaondoa Zesco United ya Zambia
Wachezaji wa klabu ya Mamelod Sundowns wakiwapungia mkono mashabiki baada ya kufuzu fainali kwa kuwaondoa Zesco United ya Zambia Goal.com

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inaangazia kuhusu mchezo wa hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika, kati ya klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na Zamaleck ya nchini Misri.