Simba na Yanga za Tanzania katika sintofahamu kuhusu aina ya uwekezaji wa vilabu hivyo

Sauti 21:32
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara msimu uliopita
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara msimu uliopita www.youngafricans.co.tz

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inazungumzia hatua ya vilabu vya Yanga na Simba nchini Tanzania kutaka kuruhusu wawekezaji wenye fedha kununua vilabu hivyo, ama kwa mfumo wa hisa au ukopeshaji, suala ambalo tayari linaleta sintofahamu kwenye vilabu hivyo.