Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa orodha ya makundi ya timu zitakazocheza AFCON mwaka 2017 kule Gabon

Sauti 21:03
Makundi ya timu zitakazocheza michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon.
Makundi ya timu zitakazocheza michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon. cafonline.com/Youtube

Juma hili kwenye makala ya Jukwaa la Michezo, tunachambua orodha ya makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, maarufu kama AFCON, michuano itakayoanza kutimua vumbi mwezi January mwaka 2017 nchini Gabon.Pia tutaangazia sakata la ndani la klabu ya Yanga ya nchini Tanzania, ambapo wanachama na uongozi wanavutana kuhusu uwekezaji gani ufanyike kwenye klabu hiyo.