Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa fainali ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Zamalek na Mamelodi Sundowns

Sauti 21:51
Wachezaji wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini wakishangilia baada ya kushinda taji la klabu bingwa Afrika, CAF, 23 October 2016
Wachezaji wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini wakishangilia baada ya kushinda taji la klabu bingwa Afrika, CAF, 23 October 2016 Cafonline.com

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inaangazia na kukuletea uchambuzi kuhusu mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika, kati ya Zamalek ya Misri na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.