Jukwaa la Michezo

Mvutano kati ya Baraza la Michezo Tanzania na vilabu vya Simba na Yanga

Sauti 21:18
tff.co.tz

Mtangazaji wa makala ya Jukwaa la Michezo juma hili anaangazia mvutano ulioibuka kati ya baraza la michezo la Tanzania na vilabu vya Simba na Yanga, ambapo vimetakiwa kusimamisha michakato yote ya kubadili mfumo wa kiutendaji wa vilabu, hivi, uamuzi wa Serikali ulikuwa sahihi? Sikiliza mjadala huu hapa.