Jukwaa la Michezo

Sehemu ya 2 mvutano kati ya BMT na vilabu vya Tanzania, na pia fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili hii ameendelea na mjadala kuhusu mvutano kati ya Serikali na vilabu vya Simba na Yanga nchini Tanzania, leo tumezungumza na wakili Dr Damas Ndumbaro ambaye anatoa ufafanuzi.Pia tumeangazia fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya TP Mazembe na Mo Bejaia, mchezo ulioshia kwa sare ya bao 1-1, marudiano ni juma lijalo.

SALAH HABIBI / AFP
Vipindi vingine