Muziki Ijumaa

Mavoice, chipukizii anaefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva

Sauti 10:55
Msanii mavoice Studio za RFI Kiswahili jijini Dar Es Salaam
Msanii mavoice Studio za RFI Kiswahili jijini Dar Es Salaam RFI/BILALI

Mavoice ni kijana chipukizi kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva anaefanya vizuri na nyimbo zake, juma hili ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam, unaweza pia kumfollow mtangazaji wako kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali