Jukwaa la Michezo
TP Mazembe ndio mabingwa wa taji la Shirikisho barani Afrika mwaka 2016
Imechapishwa:
Cheza - 20:49
TP Mazembe ndio mabingwa wa taji la Shirikisho barani Afrika taji walilopata mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuifunga MO Bejaia ya Algeria mwa jumla ya mabao 5-2. Tunajadili kwa kina mafanikio haya ya klabu hii kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.