Muziki Ijumaa
Safari ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Tundaman wapi imefikia?
Imechapishwa:
Cheza - 11:27
Juma hili tunamleta kwenu msanii wa muda mrefu kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Tundaman, katika makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili Tundaman anatueleza wapi amefikia na changamoto gani anazokabiliana nazo, usikosi pia kumfollow ntangazaji wako kwa instagram @billy_bilali