Jukwaa la Michezo

Kombe la dunia Urusi 2018: Safari ya kutafuta tiketi kwa mataifa ya Afrika yaendelea

Sauti 23:01
Victor Moses, mshambuliaji wa Nigeria akisherehekea baada ya kufunga bao wakati timu ikimenyana na Algeria Novemba 12 2016
Victor Moses, mshambuliaji wa Nigeria akisherehekea baada ya kufunga bao wakati timu ikimenyana na Algeria Novemba 12 2016 PIUS UTOMI EKPEI / AFP

Michuano ya mchezo wa soka kutafuta mataifa matano yatakayocheza katika fainali ya kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018, yanaendelea mwanzoni  mwa wiki hii.Tunachambua hili kwa kina.