Jukwaa la Michezo

Michuano ya wanawake kutafuta bingwa wa soka barani Afrika yaanza kutifua vumbi

Sauti 21:34
Wachezaji wa Cameroon wakisherehekea baada ya kuwashinda Ghana mabao 2-0
Wachezaji wa Cameroon wakisherehekea baada ya kuwashinda Ghana mabao 2-0 cafonline

Makala ya 12 kutafuta bingwa soka barani Afrika kwa upande wa wanawake imeanza nchini Cameroon, tunachambua kwa kina.Mataifa nane yanashiriki katika michuano hii ikiwa ni pamoja na mabingwa watetezi Nigeria, Ghana, Cameroon, Misri, Mali, Kenya, Zimbabwe na Afrika Kusini.