Jukwaa la Michezo

CAF yawafungia marefarii watatu kwa kufanya maamuzi mabaya mechi za kufuzu kombe la dunia

Imechapishwa:

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limewafungia kwa muda wa miezi mitatu marefarii watatu kwa kuchezesha visivyo michuano miwili ya kufuzu kucheza fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.Marefarii hao ni pamoja na Mkenya Davies Omweno, Joseph Lamptey kutoka Ghana, Berhe O’Michael kutoka Eritrea na Theogene Ndagijimana kutoka Rwanda.Tunajadili hatua hii.

Kibendera kichotumiwa wakati wa soka
Kibendera kichotumiwa wakati wa soka http://www.soka.co.ke
Vipindi vingine