Jukwaa la Michezo

Nigeria yatetea ubingwa wa soka barani Afrika kwa upande wa wanawake

Sauti 23:09
Nigeria mabingwa mara nane wa kombe la Afrika kwa upande wa wanawake
Nigeria mabingwa mara nane wa kombe la Afrika kwa upande wa wanawake cafonline

Nigeria imetetea taji lake la  wa soka barani Afrika baada ya kuishinda Cameroon bao 1-0. Hili ni taji lake la nane katika historia ya michuano hii . Tunajadili mafanikio ya Nigeria katika michuano hii.