Jukwaa la Michezo

Afrika Mashariki yakosa kutoa mwamuzi atakayechezesha fainali za AFCON 2017

Sauti 25:11
Kibendera kichotumiwa na mwamuzi msaidizi  wakati wa mchuano wa  soka
Kibendera kichotumiwa na mwamuzi msaidizi wakati wa mchuano wa soka cafonline

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetangaza majina ya waamuzi au marefarii wa kati 17 ,watakaochezesha michuano ya bara Afrika yatakayofanyika mwezi Januari mwaka 2017 nchini Gabon. Hata hivyo, Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kama  Rwanda, DRC, Burundi, Uganda, Kenya na Sudan hazijatoa mwamuzi mmoja. Je, ni kwanini?Tunachambua hili.