Jukwaa la Michezo

Michuano ya CECAFA yakosa kufanyika mwaka 2016

Sauti 23:51
Nembo ya CECAFA
Nembo ya CECAFA

Michuano ya soka ya klabu bingwa na ile ya Mataifa ya Afrika Mashariki CECAFA, haikufanyika mwaka huu wa 2016 baada ya kukosa mwenyeji wa michuano hii mikubwa. Je, nini chanzo cha haya yote ? Tunachambua kwa kina.