Jukwaa la Michezo

Matukio makubwa yaliyotokea viwanjani mwaka 2016

Sauti 21:46
Nembo ya mchezo wa Taekwondo katika michezo ya Olimpiki nchini Brazil
Nembo ya mchezo wa Taekwondo katika michezo ya Olimpiki nchini Brazil Taekwondo - Women's -57kg Bronze Medal Finals 2016 Rio Olympics

Mwaka wa 2016, unapofika ukingoni, tunachambua baadhi ya matukio makubwa yaliyotokea viwanjani mwaka huu. Asante na tunakutakia Krismasi njema na mwaka mpya wa 2017 wenye mafanikio makubwa.