Jukwaa la Michezo

Matukio makubwa ya michezo mwaka 2017

Imechapishwa:

Haya ni makala ya kwanza ya mwaka mpya wa 2017. Tunaangazia matukio makubwa yatakayojiri viwanjani barani Afrika na kwingineko duniani, tukianza na michuano ya mataifa bingwa barani Afrika nchini Gabon mwezi huu wa Januari. Heri ya mwaka mpya wa 2017 na tuendelee kuwa pamoja katika Makala haya.

Makundi ya timu zitakazocheza michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon.
Makundi ya timu zitakazocheza michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon. cafonline.com/Youtube
Vipindi vingine