Jukwaa la Michezo

AFCON 2017:Uchambuzi wa kundi B na C

Imechapishwa:

Fainali ya 31 kuwania taji la mataifa bingwa barani Afrika, inaanza siku ya Jumamosi, Januari tarehe 14 nchini Gabon. Mataifa 16, yanashiriki katika michuano hii itakayochezwa katika miji minne ya Libreville, Franceville, Oyem na Port Gentil. Mataifa yatakayoshiriki yamepangwa katika makundi manne. Tunakuletea uchambuzi wa kina wa kundi B na C.

Nembo ya AFCON 2017
Nembo ya AFCON 2017
Vipindi vingine