Jukwaa la Michezo

Michuano ya AFCON 2017 yaanza kunguruma nchini Gabon

Sauti 23:08
Mashabiki wa soka  wa Gabon
Mashabiki wa soka wa Gabon RFI

Makala ya 31 ya michuano ya soka kuwania taji la Mataifa bingwa barani Afrika AFCON, imeanza rasmi nchini Gabon. Wenyeji Gabon walianza sare ya bao 1-1 dhidi ya Guinea-Bissau, lakini Senegal wameanza vema baada ya kuwashinda Tunisia mabao 2-0.Tunakuletea uchambuzi wa kina kuhusu michuano hii.Soma uchambuzi wa kina:-