Jukwaa la Michezo

AFCON 2017: Uganda yalemewa nchini Gabon, yasubiri mechi ya mwisho

Sauti 24:51
Uganda ikimenyana na Misri katika mchuano muhimu wa kundi D.
Uganda ikimenyana na Misri katika mchuano muhimu wa kundi D. RFI/Pierre René-Worms

Timu ya taifa ya soka ya Uganda imeondolewa katika michuano ya soka kuwania ubingwa wa barani Afrika inayoendelea nchini Gabon baada ya kufungwa na Misri bao 1-0 lakini pia kupoteza dhidi ya Ghana bao 1-0. Tunachambua kwa kina kinachoendelea.