Jukwaa la Michezo

AFCON 2017: Uchambuzi wa michuano ya hatua ya robo fainali

Sauti 23:09
DRC ikisherehekea baada ya kusawazisha bao muhimu dhidi ya Ghana
DRC ikisherehekea baada ya kusawazisha bao muhimu dhidi ya Ghana RFI/Pierre René-Worms

Misri, Ghana, Burkina Faso na Cameroon zimefuzu katika hatua ya nusu fainali kuwania taji la soka barani Afrika AFCON 2017. Tunachambua kwa kina michuano ya robo fainali, DRC dhidi ya Ghana, na Misri ikipambana na Morocco.