Jukwaa la Michezo

Cameroon ndio Simba wa soka barani Afrika

Sauti 24:59
Wachezaji wa Cameroon wakisherehekea baada ya kushinda taji la AFCON 2017
Wachezaji wa Cameroon wakisherehekea baada ya kushinda taji la AFCON 2017 Pierre Rene-Worms/RFI

Timu ya taifa ya soka ya Cameroon, imeshinda taji la soka barani Afrika katika michuano ya AFCON, iliyomalizika nchini Gabon. Kuelekea kwenye fainali hii, tulichambua mchuano huu kwa kina dhidi ya Misri.