Jukwaa la Michezo

Michuano ya soka ya klabu bingwa na Shirikisho yaanza barani Afrika

Sauti 23:28
Nembo ya taji la klabu bingwa barani Afrika mwaka 2017
Nembo ya taji la klabu bingwa barani Afrika mwaka 2017 Courtesy of CAF

Michuano ya soka hatua ya awali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho imeanza kutifua vumbi katika mataifa mbalimbali barani Afrika.Tunachambua michuano hii pamoja na matukio mengine makubwa yaliyotokea viwanjani wiki hii.