Jukwaa la Michezo

Siasa za uongozi katika Shirikisho la soka barani Afrika CAF

Sauti 23:50
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, Issa Hayatou
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, Issa Hayatou wikipedia

Mzozo wa maneno umezuka kati ya rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, Issa Hayatou na rais wa COSAFA Philip Chiyangwa kuhusu hatua ya Baraza hilo kuamua kumuunga  mkono rais wa Shirikisho la soka nchini Madagascar Ahmad Ahmad wakati wa Uchaguzi wa rais wa CAF mwezi Machi nchini Ethiopia.Tunachambua hili kwa kina.