Jukwaa la Michezo

Simba yaishinda Yanga mabao 2-1 katika mchuano wa watani wa jadi

Sauti 25:16
Mashabiki wa klabu ya Simba na Yanga nchini Tanzania
Mashabiki wa klabu ya Simba na Yanga nchini Tanzania wikipedia

Mchuano wa soka kati ya watani wa jadi Simba na Yanga FC nchini Tanzania, ulikuwa na hisia kubwa hasa baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-1. Tunachambua mchuano huu.