Jukwaa la Michezo

Maendeleo ya mchezo wa Tae kwondo barani Afrika

Sauti 21:08
Israel Mtumbuka raia wa Tanzania anayeishi nchini Tanzania, amejikita katika mchezo  wa Tae kwondo
Israel Mtumbuka raia wa Tanzania anayeishi nchini Tanzania, amejikita katika mchezo wa Tae kwondo www.facebook.com

Mchezo wa Tae kwondo, Kickboxing na Karate imeanza kushika kasi barani Afrika. Jumapili hii mchezaji na mwelekezi wa mchezo huu Israel Mtumbuka ametutembelea studio kuzungumzia michezo hii. Israel ni raia wa Tanzania lakini anaishi jijini Lagos nchini Nigeria.