Jukwaa la Michezo

Kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu wa shirikisho la mpira barani Afrika Caf

Imechapishwa:

Makala ya Jukwaa la Michezo Jumamosi hii inakueletea uchambuzi wa matokoe ya uchaguzi mkuu wa shirikisho la mpira barani Afrika Caf, ambapo rais wa sasa Issa Hayatou ameangukia pua baada ya kushindwa na Ahmad Ahmad rais wa chama cha soka cha Madagascar.

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Caf wakimpongeza rais mpya wa Caf, Ahmad Ahmad baada ya kuchaguliwa kwake.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Caf wakimpongeza rais mpya wa Caf, Ahmad Ahmad baada ya kuchaguliwa kwake. Zacharias Abubker / AFP
Vipindi vingine