Jukwaa la Michezo

Matokeo ya mechi za klabu bingwa Afrika na kombe la shirikisho na kufungiwa kwa FECAFOOT

Sauti 23:58
Mchezaji wa TP Mazembe, Rainford Kalaba ambaye timu yake imeondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika.
Mchezaji wa TP Mazembe, Rainford Kalaba ambaye timu yake imeondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. STRINGER / AFP

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inakuletea uchambuzi wa kina wa matokeo ya mechi za klabu bingwa Afrika na kombe la shirikisho, lakini pia mustakabali wa soka la Afrika.