Siasa za upinzani nchini Kenya
Imechapishwa:
Sauti 13:31
Wanasiasa nchini Kenya, bado wanaendelea na mchakato wa kumtafuta atakayepeperusha bendera ya muungano wa NASA wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti. Kwanini imechukua muda mrefu kwa wanasiasa hao wanne Raila Odinga, Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi kumpata mgombea ?