Marais wa vyama vya soka Afrika Mashariki wataka uongozi wa CECAFA ubadilishwe

Sauti 24:52
Nembo ya CECAFA
Nembo ya CECAFA CECAFA

Marais wa vyama vya soka Afrika Mashariki ya Kati hivi karibuni walikutana jijini Kampala nchini Uganda na kuja na mapendekezo tisa, ya kuimarisha soka katika ukanda wa CECAFA. Hata hivyo, uongozi wa CECAFA haikuhusishwa katika mkutano huo.