Serengeti Boys yamaliza maandalizi ya kucheza fainali ya bara Afrika

Sauti 25:21
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Serengeti Boys wakijiandaa nchini Morocco kabla ya kwenda nchini Gabon
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Serengeti Boys wakijiandaa nchini Morocco kabla ya kwenda nchini Gabon futaa.com

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania yenye wachezaji wasiozidi miaka 17, imemaliza maandalizi ya kushiriki katika michuano ya mataifa bingwa barani Afrika nchini Gabon,kuahirishwa kwa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki nchini Kenya na michuano ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA. Tunajadili hili kwa kina.