Michuano ya soka barani Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 yaanza

Sauti 23:49
Timu ya taufa ya soka ya Guinea
Timu ya taufa ya soka ya Guinea cafonline

Michuano ya soka baina ya mataifa ya bara Afrika kwa vijana wasiozidi miaka 17, imeanza nchini Gabon. Mataifa yanayoshiriki ni wenyeji Gabon, Angola, Cameroon, Ghana, Guinea, Mali, Niger na Tanzania.Nani atakuwa bingwa ?