Soka la vijana barani Afrika: Tanzania kusaka ushindi muhimu dhidi ya Niger

Sauti 23:27
Mchuano kati ya Tanzania na Niger katika mchuano wa mwisho wa kundi B
Mchuano kati ya Tanzania na Niger katika mchuano wa mwisho wa kundi B www.cafonline.com

Tanzania inachuana na Niger katika mchuano wake wa mwisho kufuzu katika hatua ya nusu fainali kuwania ubingwa wa Afrika kwa vijana wasiozidi miaka 17 nchini Gabon. Ligi ya Tanzania bara imemalizika, kwa Yanga kuibuka mabingwa, huku Chelsea ikishinda ligi kuu nchini Uingereza.