AS Vita Club na TP Mazembe vitani kuwania taji la klabu Bingwa na Shirikisho

Sauti 24:41
Klabu ya Supersport United ya Afrika Kusini
Klabu ya Supersport United ya Afrika Kusini cafonline

Wiki hii tunaendelea kukuletea uchambuzi wa kina kuhusu michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika CAF, fainali ya kuwania taji la klabu bingwa barani Ulaya UEFA, na michuano ya French Open.