Jukwaa la Michezo

Mataifa ya Afrika yaanza safari ya kufuzu AFCON 2019

Sauti 26:15
Nembo ya AFCON 2019
Nembo ya AFCON 2019 cafonline

Timu za taifa za michezo wa soka za Burundi, DRC na Uganda, kutoka eneo la Afrika Mashariki na Kati, zilianza vizuri kampeni ya kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon baada ya kuandikisha ushindi mwishoni mwa wiki iliyopita.Sikiliza uchambuzi wa kina.