Michuano ya dunia ya soka baina ya mabara yaanza nchini Urusi

Sauti 24:57
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo akicheza katika michuano ya  mabara inayoendelea nchini Urusi
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo akicheza katika michuano ya mabara inayoendelea nchini Urusi REUTERS/Darren Staples

Miongoni mwa mambo tunayoangazia Jumapili hii katika Makala ya Jukwaa la Michezo  ni pamoja na kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ya mabara nchini Urusi, kauli ya Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye kuhusu mataifa yanayoharibu soka katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na kujiuzulu kwa  kocha wa Gor Mahia nchini Kenya bila kusahau  ziara ya wajumbe wa CAF kuthathmini utayari wa Kenya kuandaa michuano ya CHAN mwaka 2018.